Main Slider

SPIKA WA BUNGE ATETA NA MKUU WA CHAMA CCM

ndu1




Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana alipomtembelea katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
ndu2
ndu4Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akiwasili katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam alipofika kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana .
ndu3
Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akongozana na  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili   alipomtembelea na kuzungumza naye katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
ndu4
  Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akimsikiliza  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana  alipomtembelea na kuzungumza naye katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
ndu5
Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai (katika) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi  (CCM)  Abdulrahman Kinana (kushoto)  na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka (kulia) wakati alipomtembelea Katibu Mkuu wa CCM.Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akiagana   na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka mara baada ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Maoni 1 :